Karibu katika blog yetu

Tuesday, January 22, 2013

MTOTO HALAIKA BUSHIRI AFA KWA MOTO MBEYA




 
Mtoto Halaika Bushiri ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi Mwanyanje iliyopo kata ya Igawilo mjini Mbeya  amefariki dunia baada ya kuteketea kwa moto akiwa nyumbani kwao

Kamanda wa polisi mkoani Mbeya Diwani Athuman amesema tukio hilo lililotokea  wakati mama wa mtoto Nuru Mlele akiwa kwenye  shughuli zake
  

Amesema chanzo cha moto huo uliounguza nyumba na vitu vilivyokuwemo ndani yake bado hakijafahamika na kwamba uchunguzi zaidi unaendelea

No comments:

Post a Comment