| Mkulima katika kijiji cha Chiwerere mkoani Lindi akipiga piga mahindi baada ya kuvuna |
| Binti akiweka mahindi sehemu nzuri baada ya kuyavuna katika kijiji cha Chiwerere Lindi |
| Daladala kutoka kijiji cha Kijiweni mpaka Lindi |
| Mvuvi katika kijiji cha Kijiweni, Lindi |
| Kijiji cha Tchezema kilichopo Mvomero mkoano Morogoro |
No comments:
Post a Comment