Karibu katika blog yetu

Friday, February 1, 2013

WENGER AKIRI SAFU YAKE YA ULINZI INAVUJA



 

Kocha mkuu wa klabu ya Arsenal, Arsen Wenger amekiri kuwa safu yake ya ulinzi imekuwa ikilega lega na kuruhusu magoli ambayo yamekuwa yakiigharimu timu hiyo katika michezo yake ya ligi kuu na ile ya klabu bingwa ya Afrika.

Wenger amesema kuwa kikosi chake kimekuwa kikionesha soka safi lakini upande wa safu ya ulinzi umekuwa haupo imara na kuruhusu magoli hivyo anaamini usajili wa mlinzi wa kushoto raia wa Uhispania Nacho Monreal unaweza ukaimalisha safu yake ya ulinzi.



Katika hatua nyingine Wenger amesema ataendelea kumtumia mlinzi wake wa kushoto kutoka Brazil Adrea Santos  na anaamini ndiye ataziba pengo la Gibbs katika mchezo wa klabu bingwa ulaya dhidi ya Bayern Munich.

No comments:

Post a Comment