Karibu katika blog yetu

Friday, February 1, 2013

UBALOZI WA MAREKANI WALIPULIWA ANKARA



                                               
Ubalozi wa Marekani jijini Ankara nchini Uturuki umelipuliwa bomu la kujitoa mhanga na kusababisha mlinzi wa ubalozi huo kupoteza maisha pamoja na aliyejitoa mhanga.

Ripoti zaidi katika tukio inaeleza kuwa bomu hilo halijasababisha madhara makubwa ndani ya jengo kama ilivyokuwa nje.


Mwandishi wa habari wa AP amesema kuwa alimuona mwanamke mmoja eneo la ubalozi huo akiwa amejeruhiwa vibaya mara baada ya tukio hilo.

No comments:

Post a Comment